Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I will wake you up with breakfast on bedNawasihi mods kesho tuukute uzi huu pleeeez
Kama kawaida ila mkuu inabidi tuje na mikakati mizuri kuuendeleza huu uziTangu niingie jf sijawahi kuona show love kama hii. Hii ni zaidi ya makinikia. Wakuu nyie hatari. Naombeni like nilale ila kesho kama kawa nitaendelea kulike pale nilipoishia
Wewe lala tuujamani lalenii,aaaah mnaboaaa
Huyu ndio uliebuni hii usiecha kumpaka likes mpaka aseme enoughKweli mrembo mod hawachelewi kuufuta wakati Sie tunaenjoy. Pokea like yangu
Mbona wewe Galapagosi anakukamatiaga mi nimekausha na cha ajabu hujamtambulisha home..au nikuchomeshee kwa mshua??Nitakusemea kwa mama nilikukuta chumbani na house girl wetu[emoji35]
Thank youI will wake you up with breakfast on bed
Usisahau kutia like kwenye huu uzi wa mleta madaKiss for u .....