Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jamani habarini napenda kuwatangazi kuwa kutakua na job recruitment exhibition tareh 17 mwezi wa sita chuo kikuu cha dar es salaam uwanja wa mpira wa kukapu.kutakua na makampuni ya wachina mbali mbali watakaofanya recruitment. kwanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni ..
kumbuka kuleta vufwatavyo
1. Cv yako
2. vyeti vyako
3.transcrip
4. passport size picture
 
Back
Top Bottom