Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ndio tunaacha labda kitufe kipotee.Like zimepungua
HahahahaSumptous Thread.
kifungua kinywa [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Naoga like
nimeipataOngeza na hiyo
Anza kwa kulike uzi wetu hot.This thread is still hot
UsijaliPamoja
Usisahau kulike uzi wa mleta mada.
Pamoja mkuu.Napendaga malike nyomi attention!!! Naomba like
kumbe alikesha nao hatari sanaMwache alale
habar za udaku za nini makinikia yao sisi tuliambiwa tutakula ata nyasi ndege ya mkulu inunuliwe pole sana mkuu mramba watoto wako wanatumbua bia mjini uku...Magazeti ya leo mmesoma?
usimkazie sana huu utafutaji wa [emoji106][emoji106][emoji106] huu!mtima wangu u juu ya likes za humu
Usisahau kulike uzi wetu pendwa unatoa like hadi ukimbie wewe.Likes value ndembe ndembendembe, ulaniwe jembekillo, lijes zilikuwa km kumiliki simu ya mezani miaka ya 90, gafla umezigeuza thaman yake km kumiliki simu ya mezani ya TTCL mwaka huu, yaani no thaman tena, mm naililia thaman ya like