Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii the promise ya star tv inayooneshwa sasa hivi mbona si kama ile ya wakati ule?
Licha ya majina ya washiriki kufanana lakini naona kama watu wenyewe sio wale nilikuwa nikiwafahamu tokea awali
Nini mbaya hapa??????????
 
Hamna sema uwe sticky

Mnaiba likes za Makapuku, wataanza sasa hivi kulalamika.

Naombeni kuuliza hivi LIKES za KAPUKU kuonekana kwenye post mwisho ni 5 tu ht km umepewa 20?....mbona kwa wakongwe huonekana hata 30 kwenye post moja haswa thread zao za zamani...

Mtu unapata notifications tu lkn kwenye post husomeka 5 likes milele
Kuna hujuma?
Cc Invisible
=========
 
Back
Top Bottom