Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweliHuu Uzi una mbio kama harmorappa.
Waiting....Zawadi hiyo kwa atae post comment ya 10k
Mama
Unacheka pita bila kulike uoneHahahaha
Haya."Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, anatangaza BWANA,… 'toka Sabato hata Sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA" - (Isaya 66:22,23).
Safi kama ukwisha ulike huu uzi wa mleta madaMbona tayari nimesha like za kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23]Gazeti la mwananchi limeandika, Baadhi ya wabunge waitaka Acacia ilipe angalau trilioni 35 kama kishika uchumba kabla ya mazungumzo ili kuongeza heshima ya nchi. ha ha ha! aisee bongo kuna nja sio mchezo?