Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakumbushe ndugu na jamaa kulike uzi wetu pendwa wa Jembekillo
Niliuweka usiku upo humu kwenye hii threadWeka na wa kwako
Hata mimi pia. Kwema hukoMi mzima ...nimeku-miss
Haya na huku leteNpen like jamani Nina kiu nazo sana
Like hiyo mamaJaman
Wacha manenoMods watu wanatiririka aisee afu hawa wadada wa Tanga ndio usiseme plz mods watu wameacha kuchangia uzi zenye tija wamekimbilia huku kama vipi futa thread.
Pole yao, kupanga ni kuchagua
MzumbeTanga tec
Narudi sasa hivi unitunzie basiUsichelewe sana utakosa zawadi..
Gereza tena