Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hapoChangamka likes!
Ujajiuliza jf nzima valentina ww TuHiyo takwim yako inayokwambia sie tuko wachache ni ipi aithee
Burudan tu............ Ekotite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] Sasa mkuu wewe ni kibaraka wa faizafoxy?Najua mtachoka tu na ww mwanzilish wa hii thread umepania watu wampiku Faiza kwa likes ipa sio vizur maana Mungu anakuona
Asante sanaHizo hapo
Ndefu sana nitasoma baadae, ila kula likeMi mmasai bana nasema mi mmasai..ni kitu najifunia masi fahari yangu,nadumishe
mila ila wengine ilishashindwa tamaduni yenye ngufu iliobaki
afirika....
Salidarama jua inachoma kama pasi,kama hapana oga hawezi pata
singizi, salidarama hata kama ni maji nauzwa..
Gari ina derefa naongozwa na
mataa ile taa najua saidi kuliko dereva...
Kama we iko kosa nakua ya
jinai,jinai mtu ya wapi kila kosa hakatai....nasingiziwa sana au ni rushwa
atoi,nachafuliwa jina na jela hapelekwi...
Na hapa sadarama ni wapi naitwa
bize ukitafuta mtu naambiwa iko bize huko bize ni wapi mbona mimi bado fika
nasikia bize tu na mwaka nakatika..
Temeke ilala magomeni na
michokeni...ostisabei mwenge pamoja kinondonyi pia kuna sinza manzese na
bugurunyi naweza kupotea kama nakosa ramani....