Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hii nilisahau kulike chukua iyo mamaTukichat mambo ya maana wale wanaoudharau uzi huu watauheshimu. Epl ikianza tutatupia matokeo yaote humu,ligi kuu Tanzania bara etc
Nakuona kwa mbele mkuu tehe teheNipo nyuma yako mkuu....
Halafu we mdogo wewee?Njaa inauma sijui nile like tu
(b)ngoja na miye nijifunze kwenye hili ni bashiteAndika neno [ b ]nifundisheni namna ya kubold
Hapo kwenye mabano usiache nafasi na usiitoe b bali uiache humo kisha pemben nje ya mabano ndo uansike maneno utakayo
nifundisheni namna ya kubold maneno