Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Unapoeneza uongo juu ya mwingine ni sawa na kumnyonyoa kuku huku ukitembea na kuyaacha manyoya yapeperushwe na upepo na hata ukiambiwa umsafishe kwa uongo uliousema ni ngumu kama kuyakusanya yale manyoya kwa sababu yameshasambazwa na upepo.