myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️
Huwa Inauma San Kuona umri Unakimbia Kuliko Mafanikio Yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa Inauma San Kuona umri Unakimbia Kuliko Mafanikio Yetu
Muda mwingie tunafanya mambo ili kuwafurahisha watu wengine wakati tunaumia .
Muda mwingie tunafanya mambo ili kuwafurahisha watu wengine wakati tunaumia .
Hatua nyingine ya kimaendeleo hakikisha wanakaa wakikujadili uku wakibishana
✔️✔️✔️Muda mwingie tunafanya mambo ili kuwafurahisha watu wengine wakati tunaumia .
Siku mbaya kabisa ni siku ambayo tutaacha kutabasamu.
KweliKuna mambo mengi yenye thamani kuliko PESA, lakini huwezi kuyaona wala kuyathamini ukiwa huna PESA.
NakubalianaKuna mambo mengi yenye thamani kuliko PESA, lakini huwezi kuyaona wala kuyathamini ukiwa huna PESA.
SIOGOPIKuwa tofauti ni uwezo wako mkuu. Usiogope kuwa tofauti.”
NakubalianaKwenye dunia ya sasa unatakiwa uwe na ukatili kidogo ndani yako ili uishi vizuri na walimwengu.
InawezekanaKwenye dunia ya sasa unatakiwa uwe na ukatili kidogo ndani yako ili uishi vizuri na walimwengu.
Kwenye dunia ya sasa unatakiwa uwe na ukatili kidogo ndani yako ili uishi vizuri na walimwengu.
✅️✅️✅️Kwenye dunia ya sasa unatakiwa uwe na ukatili kidogo ndani yako ili uishi vizuri na walimwengu.
Kinachokupa furaha ndicho kinachoweza kukuumiza hakuna mwenye huzuni milele kuna wakati utapitia changamoto za maisha Na kuna wakati unakua upo sawa kimaisha Mtangulize Mungu
✔️✔️Kimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
📌Kimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
✅️✅️Kinachokupa furaha ndicho kinachoweza kukuumiza hakuna mwenye huzuni milele kuna wakati utapitia changamoto za maisha Na kuna wakati unakua upo sawa kimaisha Mtangulize Mungu
📌📌Wakikushauri, wasikilize—lakini ishi kulingana na misingi yako.
Kinachokupa furaha ndicho kinachoweza kukuumiza hakuna mwenye huzuni milele kuna wakati utapitia changamoto za maisha Na kuna wakati unakua upo sawa kimaisha Mtangulize Mungu
Wakikushauri, wasikilize—lakini ishi kulingana na misingi yako.