myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Ikawe siku ya baraka na mafanikio kwenye utafutaji wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Ikawe siku ya baraka na mafanikio kwenye utafutaji wako.
✅️✅️Kimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
Jifunze kusema sawa bila kubisha, jufunze kuwa mpole bila kukasirika kwani maisha hayaita kujiona Bora Kwenye kila kitu
✔️✔️Usikimbilie mafanikio bali panda hatua kwa hatua kuyafikia
✅️✅️✅️Kimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
Jifunze kusema sawa bila kubisha, jufunze kuwa mpole bila kukasirika kwani maisha hayaita kujiona Bora Kwenye kila kitu
Wakati wakuona safari yako imejaa matumaini, imejaaa baraka,
Anza siku na Mungu maliza na Mungu.
SawaWakati wakuona safari yako imejaa matumaini, imejaaa baraka,
Anza siku na Mungu maliza na Mungu.
Hili sawaKimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
SawasawaWakati wakuona safari yako imejaa matumaini, imejaaa baraka,
Anza siku na Mungu maliza na Mungu.
Jifunze kusema sawa bila kubisha, jufunze kuwa mpole bila kukasirika kwani maisha hayaita kujiona Bora Kwenye kila kitu
Ukitaka kwenda juu kwenye maisha lazima ujifunze kuwa mpambanaji
Kuna maamuzi ili yaku letee Faida lazima yaku umize kwanza.
Ukitaka kwenda juu kwenye maisha lazima ujifunze kuwa mpambanaji
Yawezekana una rafiki, staff mwenzako, ndugu unaona kabisa wanaendana na rafiki, ndugu au huyo staff mwenzako basi kuwa daraja la hitaji hilo yawezekana unajua kabisa ni muhitaji wa ndoa basi kuwa baraka kwake na daraja la hilo

👍👍👍Yawezekana una rafiki, staff mwenzako, ndugu unaona kabisa wanaendana na rafiki, ndugu au huyo staff mwenzako basi kuwa daraja la hitaji hilo yawezekana unajua kabisa ni muhitaji wa ndoa basi kuwa baraka kwake na daraja la hilo
Iwe siku yenye amani na utulivu 🤲 🙏00:09
Ijumaa
Feb 21 2025.
Siku nyingine