moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍👍KILA MTU ANA CHA KUPIGANIA,
Kuna mtu yupo anapigania Afya saa hii,
Mwingine Anapigania Apate mtoto,
Mwingine Anapigania Utafiti wa kuibadilisha dunia,
Mwingine anapigania wewe ufeli kwenye mambo yako
Sisi Twende leo tukapiganie kesho yetu maana Tukifeli sisi wanafeli wengi
Tafuta mema yaliyoko ndani ya wengine na upotezee mabaya yao. Kwa sababu hakuna aliyekamilika
Hekima sio kujua kila kitu, bali ni uwezo wa kupima kila unachoamini unakijua
Hekima sio kujua kila kitu, bali ni uwezo wa kupima kila unachoamini unakijua
Tafuta mema yaliyoko ndani ya wengine na upotezee mabaya yao. Kwa sababu hakuna aliyekamilika
Jifunze Kusema "SINA" Kwa Sababu Hao Unaotaka Kuwaonyesha Kua Una Kitu, Ndio Hao Hao Wasiopenda Kukuona Ukiwa nacho..
Furaha ✔️ ✔️Furaha zetu zimejificha katika vile ambavo huwapa huzuni wengine
Washuke tu maana hakuna namnaMan U inashuka daraja
🤣🤣Washuke tu maana hakuna namna
Najifunza hiliJifunze Kusema "SINA" Kwa Sababu Hao Unaotaka Kuwaonyesha Kua Una Kitu, Ndio Hao Hao Wasiopenda Kukuona Ukiwa nacho..
SawasawaHakuna kisasi kizuri zaidi duniani kama kuwaonesha watu kuwa maisha yako yamezidi kuwa bora zaidi baada ya wao kuondoka …
Ukitaka kwenda nao sawa
Tafuta pesa. Ukiwa nazo watakusikiliza watakupa nafasi ya kuongea na makofi watakupigia.
Hakuna kisasi kizuri zaidi duniani kama kuwaonesha watu kuwa maisha yako yamezidi kuwa bora zaidi baada ya wao kuondoka …