Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Jizuie, fanya kilicho sahihi muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jali Afya Yako
Afya yako ndio mtaji wa maisha yako. Fanya mazoezi mara kwa mara, kula chakula bora, na zingatia afya ya akili. Akili yenye utulivu na mwili wenye nguvu hukupa uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha
Tamaa zako huamua mafanikio na uelekeo wa maisha yako.
Jali Afya Yako
Afya yako ndio mtaji wa maisha yako. Fanya mazoezi mara kwa mara, kula chakula bora, na zingatia afya ya akili. Akili yenye utulivu na mwili wenye nguvu hukupa uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha
Jali Afya Yako
Afya yako ndio mtaji wa maisha yako. Fanya mazoezi mara kwa mara, kula chakula bora, na zingatia afya ya akili. Akili yenye utulivu na mwili wenye nguvu hukupa uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha
Jitambue
Tambua thamani yako, hisia zako, na mwelekeo wa maisha yako. Ukijitambua, utaweza kujenga nidhamu ya muda, fedha, na tabia, ambayo ni muhimu kwa mafanikio ya muda mrefu.
Jikubali ulivyo na tambua mabadiliko yanayohitajika ili kuendana na dunia inayobadilika kwa kasi.