Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Bilauri la maji hubebwa na mikono mingi, na bado maji yake hubaki safi kunywa.
Lakini mikono ikichovywa ndani yake, maji hupoteza usafi na kuwa najis.
Hapa hatuongelei bilauri wala maji, mwenye busara ang’amue.
Maana, bidhaa ikipatikana kirahisi na thamani yake hushuka.