Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Usiingilie mazungumzo ya watu wengine bila kualikwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hizo reaction scores hazi reflect uwezo wako wa kujenga na kupangua hoja maana unarudia rudia mapost ya kijinga kwenye huu uziWhat about reactions score?
Vikubali vile usivyoweza kubadilisha, kuwa na ujasiri wa kubadili vile unavyoweza, na uwe na busara ya kuvitofautisha.
Ngoja niwaachie liuzi lenu la kitotoNakala kwa Chawa wa mshana
Hata hizo reaction scores hazi reflect uwezo wako wa kujenga na kupangua hoja maana unarudia rudia mapost ya kijinga kwenye huu uzi
Kabla ya huu uzi alikuwa anakufahamu nani?
Unanichekesha sana.Nilidhani unatania kumbe unaumia ki kweli kweli pole sana aiseee
Kaanzishe uzi mkuu unipe umaarufu JF maskini weeee inasikitisha sana duh aiseee
Unanichekesha sana.
Mimi sina akili za kijinga kama zako kila siku nakwambia.