myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaUfundishe Moyo Wako Kukubali Maumivu Hata Kama Yanatoka Kwa Mtu Unayempenda Sana, Huku Ukiamini Kuwa Hakuna Kinachodumu Milele..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaUfundishe Moyo Wako Kukubali Maumivu Hata Kama Yanatoka Kwa Mtu Unayempenda Sana, Huku Ukiamini Kuwa Hakuna Kinachodumu Milele..
Kumtegemea MunguUsitarajie Chochote Kutoka Kwa Mtu Yeyote Hakuna Uhuru Mkubwa Maishani Kama Kuishi Bila Kumtegrmea Mtu
NAJIKUBALIJikubali acha kuinga maisha ya mwengine utakuja kuumia siku moja kuiga maisha
Juhudi zako zinafanya wakumbuke Udhaifu wao, Usiruhusu chuki zao zikukwamishe.
Sawasawausichague starehe kwenye umri wako wa mahangaiko , sababu itakupasa uhangaike kwenye umri wako wa starehe
Ujumbeusichague starehe kwenye umri wako wa mahangaiko , sababu itakupasa uhangaike kwenye umri wako wa starehe
📌📌📌Jifunze Kupunguza Matarajio Ita Kusaidia Kupunguza Maumivu
Kweli na muhimuBila kupambana ni hasara ya kupoteza Muda kwa kukusudia
✅️✔️✅️Jifunze Kupunguza Matarajio Ita Kusaidia Kupunguza Maumivu
✅️✅️✅️Juhudi zako zinafanya wakumbuke Udhaifu wao, Usiruhusu chuki zao zikukwamishe.
🙏🙏🙏Fanya Mema Kwa Siri, Kwani Malipo Yake Yana Lindwa Na Mwenyezi Mungu
Hili muhimu sanaMdomo umezika ndoto za watu Walio wengi sana, Jitahidi uwe msiri wa mambo yako
📌📌Mdomo umezika ndoto za watu Walio wengi sana, Jitahidi uwe msiri wa mambo yako
SahihiUkweli unaweza kuumiza kwa muda, lakini uongo huumiza milele