myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️✔️
Thamini safari yako mwenyewe na usilinganishe hatua zako na za wengine. Kila mtu ana wakati wake wa kung'ara. Kuwa mvumilivu, endelea kujitahidi, na jiamini. MUNGU ana mipango bora kwa kila mmoja wetu subira na juhudi zako zitazaa matunda kwa wakati wake.