myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅️✅️2 Wakorintho 9:8
Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema.
✔️✔️✔️Hofu sikuzote hutukwamisha wengi. Fanya hicho unachoogopa. Utajikuta umekuwa zaidi.
✅️✅️✅️Hofu sikuzote hutukwamisha wengi. Fanya hicho unachoogopa. Utajikuta umekuwa zaidi.
Ufundishe Moyo Wako Kukubali Maumivu Hata Kama Yanatoka Kwa Mtu Unayempenda Sana, Huku Ukiamini Kuwa Hakuna Kinachodumu Milele
Jikubali jinsi ulivyo kiumbo,kisura,na kimwonekano kwa sababu ni uumbaji wa Mungu lakini usijikubali kihali na kitabia zisizokubalika ambazo una uwezo wa kuzibadili.
Pima uungwana wako katika yale unayoyafanya, kipindi watu hawakuoni
Usisahau kujiombea mema, maana wanaokuombea mabaya ni wengi sana, watu pekee wanaokuombea mema kila wakati ni wazazi wako tu
Usisahau kujiombea mema, maana wanaokuombea mabaya ni wengi sana, watu pekee wanaokuombea mema kila wakati ni wazazi wako tu
SawaUsisahau kujiombea mema, maana wanaokuombea mabaya ni wengi sana, watu pekee wanaokuombea mema kila wakati ni wazazi wako tu