myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️✅️
Kufikiria kuwa huwezi kufanya jambo fulani huko ni Kujidharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufikiria kuwa huwezi kufanya jambo fulani huko ni Kujidharau
Kufikiria kuwa huwezi kufanya jambo fulani huko ni Kujidharau
Lengo la maisha yetu ni kuwa na furaha.
Usisahau kuwa na furaha.
MALENGOLengo la maisha yetu ni kuwa na furaha.
Usisahau kuwa na furaha.
Moyo unasema huyu bado nampenda sana, ila Akili inajua huyu hanifai.Hapa Akili isipokuwa imara kuliko moyo utateseka mno
Kweli pia2. Sio kila unayemuamini nakumuambia siri Zako atakutunzia.
5. Mipaka baina yako na watu wengine hulinda huongeza heshima baina yako na wao..
4. Ukiruhusu kila mtu akutanie, ni wazi umekubali pia udhalilishwe
Nakubaliana3. Sio kila mtu wa kujenga nae mazoea, kwani watu hubadilika.
✅️✅️✅️3. Sio kila mtu wa kujenga nae mazoea, kwani watu hubadilika.
Punguza Kiburi Na Kejeli Watu Wanaweza Kuishi Na Kuwa Na Furaha Bila Wewe Na Maisha Yakaenda Sawa Kabisa.
Jembe lako ni tiketi ya mafanikio, lima kwa maarifa, uvune kwa faida! Mavuno mazuri hayaji kwa bahati, yanatokana na jasho na juhudi zako.
✅️✅️Mafanikio yako yapo katika juhudi zako. Chapakazi ufungue milango ya mafanikio yako
KweliUsione haya kuanza chini, maana hata miti mikubwa ilianza kama mbegu, kesho inaweza kuwa bora zaidi, mradi tu usimamishe juhudi zako leo"-1TOMMPANTHER
Kutafuta maisha ni safari isiyo na mwisho. Jifunze kuenjoy kila hatua, kwani furaha haipatikani tu kwenye mafanikio, bali pia kwenye juhudi zako za kuyafikia.

Usione haya kuanza chini, maana hata miti mikubwa ilianza kama mbegu, kesho inaweza kuwa bora zaidi, mradi tu usimamishe juhudi zako leo"-1TOMMPANTHER
Inauma sana pale ambapo juhudi zako kubwa zinapuuzwa, ila kosa lako dogo linajadiliwa.
Uwezo wa kuwa bora unao mwenyewe, hakuna mtu mwingine atakayekufanya uwe bora bila juhudi zako.