myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Mungu awaponye wagonjwa wote 🙏 🤲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fahamu hakuna kitu kinachokujua wewe zaidi ya nafsi yako mwenyewe, nafsi yako yajua ukweli wa maisha yako yote na fahamu kuwa nafsi ndio kiungo mkuu wa ulimwengu wa roho na ulimwengu wa kifizikia.
Kuelewa Ni Kazi Sana Kuliko Kujua Na Ndio Maana Wapo Watu Wengi Wanaotujua Lakin Ni Wachache Wanaotuelewa
Hili nalo nenoKwenye maisha kuna wakati
Lazima ukosee ili moyo ujutie na nafsi ikuume ndio lipatikane funzo ambalo litabadilisha maisha yako moja kwa moja
SawasawaFahamu hakuna kitu kinachokujua wewe zaidi ya nafsi yako mwenyewe, nafsi yako yajua ukweli wa maisha yako yote na fahamu kuwa nafsi ndio kiungo mkuu wa ulimwengu wa roho na ulimwengu wa kifizikia.
SawasawaZab 5:8&10
BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu,
Wewe, Mungu, uwapatilize, Na waanguke kwa mashauri yao. Uwatoe nje kwa ajili ya wingi wa makosa yao, Kwa maana wamekuasi Wewe.
🙏🙏Zab 5:8&10
BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu,
Wewe, Mungu, uwapatilize, Na waanguke kwa mashauri yao. Uwatoe nje kwa ajili ya wingi wa makosa yao, Kwa maana wamekuasi Wewe.
✔️✔️Wanaanzisha biashara, acha waanzishe. Wanapata kazi, acha wapate. Wanavaa suti nzuri, acha wavae. Wanajenga nyumba,Wanaoa , waache waoe, Wanakunywa pombe, acha wanywe. Wapigie makofi, wapongeze, na subiri wakati wako. Ni wakati wao, malengo yao, na ni uwezo wao.
SawasawaTafiti: Kulia wakati unatazama filamu ni moja ya kiashiria una afya bora kihisia (emotional strength).
✅️✅️✅️Wanaanzisha biashara, acha waanzishe. Wanapata kazi, acha wapate. Wanavaa suti nzuri, acha wavae. Wanajenga nyumba,Wanaoa , waache waoe, Wanakunywa pombe, acha wanywe. Wapigie makofi, wapongeze, na subiri wakati wako. Ni wakati wao, malengo yao, na ni uwezo wao.
Kama hauna kazi, basi kuwa na roho nzuri.
Kama huwezi kuwa na roho nzuri, basi kuwa jasiri
Kama huwezi kuwa jasiri, basi usiwe na aibu.
Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao. Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua"MHUBIRI 4:9-10
Hakuna mtu mzuri kwa kila mtu, Na hakuna mtu mbaya kwa kila mtu, Endelea kuwa mtu mzuri kwa wale wanaojua Thamani yako tu.
SawaAfadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao. Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua"MHUBIRI 4:9-10
Hakuna mtu mzuri kwa kila mtu, Na hakuna mtu mbaya kwa kila mtu, Endelea kuwa mtu mzuri kwa wale wanaojua Thamani yako tu.
Inawezekana hiliKuna Muda Ili Tufanikiwe Ni Lazima Tuache Kufanya Vitu Ambavyo Hata Tusipofanya Hatuwezi Kufa. Wengi Wetu Kinachotufanya Tusifanikiwe Angalau Kidogo Ni Kufanya Vitu Ambavyo Havina Ulazima Wa Kuvifanya Pindi Tukiwa Na Kipato Ambacho Awali Mipango Haikua Kufanya Tunayoyafanya.
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi