myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Ukitambua kwamba maisha yako ni 100% jukumu lako, utakuwa huna tena muda wa kuwalaumu wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅️✅️Ukitambua kwamba maisha yako ni 100% jukumu lako, utakuwa huna tena muda wa kuwalaumu wengine
✔️✔️✔️Kuishi maisha yako bila kuchukia maisha ya watu wengine inawezekana.
Mbele kwa MbeleTizama nyuma kwa shukrani wala usitizame kwa kisasi, tizama mbele kwa matumaini...tizama juu kwa imani ya muumba wako.