Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Sio kila anaesema samahani baada ya kukukosea basi amedhamiria kutoka moyoni wengi hufanya hivyo ili kukupunguzia hasira au kuepusha shari kwa wakati huo na ukitaka kujua hakuomba msamaha kutoka moyoni, basi utaona anarudia kosa lile lile tena na tena