Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ukitaka Kuishi Vizuri Hapa Duniani Basi Kubali Kuwa Mwanafunzi Siku Zote, Kwa sababu Maisha Hayaachi Kutufundisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishi kama unacheza drafti, angalia mchezo wa mbele na nyuma kwasababu kotekote unaweza kuliwa.
Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako. Nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma. Nitakupa hazina zilizofichwa gizani, na mali iliyo mahali pa siri, upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” — Isaya 45:2-3
✅️✅️Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako. Nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma. Nitakupa hazina zilizofichwa gizani, na mali iliyo mahali pa siri, upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” — Isaya 45:2-3