myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅️✅️✅️Mawazo yetu yanatutesa zaidi kuliko Uhalisia wenyewe
👍👍Katika Maisha jitahidi kujichanganya na watu siku hizi unavushwa na mtu ambaye hata haukukua naye katika utoto wako
MOYO..Ili moyo wako uwe na amani acha tabia ya kuwazaa Mali za urithii
AmaniIli moyo wako uwe na amani acha tabia ya kuwazaa Mali za urithii
SahihiMitazamo yetu ndio inayoendesha maisha yetu.
KweliKatika Maisha jitahidi kujichanganya na watu siku hizi unavushwa na mtu ambaye hata haukukua naye katika utoto wako
NakubaliMitazamo yetu ndio inayoendesha maisha yetu.
SawasawaHaijalishi nani kakukataa Au kukuacha njiani wewe songa mbele Hatima zetu hazipo kwenye wale waliotuacha na kutukataa. Hatima zetu ziko mikononi mwa Mungu na wale watu sahihi ataleta kwetu
Kweli kabisaPambana ili ubadili hali ya maisha ya nyumbani kwenu. Usipambane ili kushindana na marafiki
KupambanaPambana ili ubadili hali ya maisha ya nyumbani kwenu. Usipambane ili kushindana na marafiki
SawasawaPambana ili ubadili hali ya maisha ya nyumbani kwenu. Usipambane ili kushindana na marafiki
Kujifunza maarifaTujifunze kusamehe ni ngumu lakini inabidi usamehe tuwape nafasi ya pili wanaotukosea, Wanadamu tumejaa madhaifu, Makosa madogo madogo yasikwamishe njiani furaha yenu Dunia
SawasawaTujifunze kusamehe ni ngumu lakini inabidi usamehe tuwape nafasi ya pili wanaotukosea, Wanadamu tumejaa madhaifu, Makosa madogo madogo yasikwamishe njiani furaha yenu Dunia
📌📌Tujifunze kusamehe ni ngumu lakini inabidi usamehe tuwape nafasi ya pili wanaotukosea, Wanadamu tumejaa madhaifu, Makosa madogo madogo yasikwamishe njiani furaha yenu Dunia