Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Katika maisha kuna wakati watu wengi hudhurumiwa haki zao, Jukumu la muungwana yoyote ni kukaa upande wa aliyedhurumiwa haki yake pasipo kujali aliyedhurumu ni mtu wa namna gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika maisha kuna wakati watu wengi hudhurumiwa haki zao, Jukumu la muungwana yoyote ni kukaa upande wa aliyedhurumiwa haki yake pasipo kujali aliyedhurumu ni mtu wa namna gani
katika Maisha Watu hufanya makosa , na ikitokea mtu kawa muungwana kaomba msamaha na kujutia kosa lake yapaswa kumsamehe , kuendelea kumkebehi , kumdhalilisha hakuleti maana wala tija katika jamii, tujifunze kusamehe , binadamu siyo malaika

👍👍Katika maisha kuna wakati watu wengi hudhurumiwa haki zao, Jukumu la muungwana yoyote ni kukaa upande wa aliyedhurumiwa haki yake pasipo kujali aliyedhurumu ni mtu wa namna gani
katika Maisha Watu hufanya makosa , na ikitokea mtu kawa muungwana kaomba msamaha na kujutia kosa lake yapaswa kumsamehe , kuendelea kumkebehi , kumdhalilisha hakuleti maana wala tija katika jamii, tujifunze kusamehe , binadamu siyo malaika
UKITAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU NA SIMBA, USIMSHIKE MKIA. MAISHA NI PAMOJA NA KUELEWA WAPI PA KUGUSA NA WAPI SIO PA KUGUSA
Katika maisha kuna wakati watu wengi hudhurumiwa haki zao, Jukumu la muungwana yoyote ni kukaa upande wa aliyedhurumiwa haki yake pasipo kujali aliyedhurumu ni mtu wa namna gani
Muda Mwingine katika maisha unatakiwa ukae peke yako na ufanye maamuzi magumu kwa mustakabali wa maendeleo yako binafsi . Wachache watakuelewa