Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na Mtu mwingine.

Wakati mwingine mtu mmoja unayetaka aanguke ana watu zaidi ya 20 nyuma wanaomtegemea mkate wake, chuki ni mzigo usiubebe.
 
Usisahau kuna mstari mwembamba sana kati ya utajiri na watu kukuona Mtukufu, Nidhamu na busara ni utajiri mkubwa kuliko Utajiri wenyewe.
 
Baada ya kumwomba Mungu kwa kile unachokihitaji, usisahau kumwomba na Nidhamu ya kukitunza hicho alichokupa, mfano utajiri na mwisho hakikisha unamwomba Busara ya kutumia Utajiri aliokupa.
 
Back
Top Bottom