Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mtu yeyote asikuaminishe kuwa kuna mahali huwezi kufika ilimradi Nia unayo Bidii unayo na Imani kwa Mungu anae wafikisha watu mbali unayo usiruhusu mtu akuwekee mpaka wa mafanikio yako kwani mpaji ni Mungu