Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nilichojifunza ni kuwa kwa BINADAMU hakuna nafuu ya kusemwa kwa sababu: Ukiwa tajiri watasema TU; ukiwa masikini watasema TU; ukianguka katika maisha yako watasema TU; na HATA ukiamua KUWANYAMAZIA bado kuna watu WATAKUSEMA TU!
CHA muhimu ni kuchagua vya KUSIKILIZA
CHA muhimu ni kuchagua vya KUSIKILIZA