Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Maisha ni Mwalimu Mzuri Sana. Kati ya Vitu Vikubwa Ambavyo Maisha Yanafundisha ni Kuitumia Bahati ya Wakati Ulionao. Bahati Hiyo Ikishaondoka Hairejei Tena. Kumbuka Kuifanya Jana na Leo Yako Itoe Tafsiri Sahihi ya Kesho Yako Yenye Faida Kwako na Familia Yako"