myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️✔️Ukiwa na hasira, hesabu hadi kumi kabla ya kuongea au kutenda.
Hii itakusaidia kuepuka kufanya maamuzi mabaya na ya hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✔️✔️✔️Ukiwa na hasira, hesabu hadi kumi kabla ya kuongea au kutenda.
Hii itakusaidia kuepuka kufanya maamuzi mabaya na ya hovyo
✅️✅️✅️Katika maisha, kuna mambo ambayo huwezi kuyabadilisha, na kuna mambo ambayo unaweza kuyabadilisha.
Zingatia kile unachoweza kubadilisha na ukubali kile usichoweza kubadilisha.
AiseeKatika maisha, kuna mambo ambayo huwezi kuyabadilisha, na kuna mambo ambayo unaweza kuyabadilisha.
Zingatia kile unachoweza kubadilisha na ukubali kile usichoweza kubadilisha.
AiseeUsijilinganishe na wengine, kila mtu ana safari yake.
Zingatia safari yako peke yako na ushindane na wewe mwenyewe
Hili sahihiUsijaribu kumfurahisha kila mtu, huwezi kuwafurahisha wote.
Jaribu kuwa wewe mwenyewe na kuishi maisha yako kwa furaha yako
Nakubaliana na yoteNajua umesoma saikolojia ya binadamu ila nakukumbusha tu.
Usijitamkie maneno mabaya,usiongee negative kuhusu maisha yako hata kama hilo ni kawaida kwenye jamii yako.
Ni rahisi sana negativity unayojitamkia kukutokea
📌📌Usijaribu kumfurahisha kila mtu, huwezi kuwafurahisha wote.
Jaribu kuwa wewe mwenyewe na kuishi maisha yako kwa furaha yako
Nimesoma...Najua umesoma saikolojia ya binadamu ila nakukumbusha tu.
Usijitamkie maneno mabaya,usiongee negative kuhusu maisha yako hata kama hilo ni kawaida kwenye jamii yako.
Ni rahisi sana negativity unayojitamkia kukutokea
Najua umesoma saikolojia ya binadamu ila nakukumbusha tu.
Usijitamkie maneno mabaya,usiongee negative kuhusu maisha yako hata kama hilo ni kawaida kwenye jamii yako.
Ni rahisi sana negativity unayojitamkia kukutokea
AiseeAkili ni kama parachute, haifanyi kazi ikiwa imefungwa.
Ili kufanikiwa maishani, ni lazima tuwe tayari kujifunza na kukua kila mara
AiseeUsitangaze kila hali unayoipitia katika maisha yako. Wewe ishi tu. Usijaribu kuushawishi ulimwengu kuwa una maisha.
Akili ni kama parachute, haifanyi kazi ikiwa imefungwa.
Ili kufanikiwa maishani, ni lazima tuwe tayari kujifunza na kukua kila mara
✔️✔️✔️Akili ni kama parachute, haifanyi kazi ikiwa imefungwa.
Ili kufanikiwa maishani, ni lazima tuwe tayari kujifunza na kukua kila mara
📌📌📌Usionyeshe upendo, mapenzi, au kujali kupita kiasi kwa mtu yeyote, kwa sababu ni hulka ya binadamu kudharau chochote kinachopatikana bila malipo."
HILI NALO KWELIUbora wa mahusiano yako ndio Ubora wa maisha yako.
Maisha ni jinsi unavyoishi,jinsi watu wanavyokuchukulia ndo maisha yako hayo,hii hali huwezi kuizuia.
NB: Ishi unavyotaka,usiishi wanavyotaka
Maisha ni jinsi unavyoishi,jinsi watu wanavyokuchukulia ndo maisha yako hayo,hii hali huwezi kuizuia.
NB: Ishi unavyotaka,usiishi wanavyotaka
✅️✅️Maisha ni jinsi unavyoishi,jinsi watu wanavyokuchukulia ndo maisha yako hayo,hii hali huwezi kuizuia.
NB: Ishi unavyotaka,usiishi wanavyotaka