Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata tamaa