melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Ee Mungu Tunaomba Utusamehe... Ile Nyimbo Ya "Juaa Lileee Literemkee Mamaa "Tuliimba Kwa Kujifurahisha Tu Wakati Wa Mchakamchaka Ila Haikuwa Dua... Tunaomba Lipandishe Juu Kidogo Mana Si Kwa Joto Hili[emoji1431][emoji24][emoji24]
Aamina [emoji2972]