Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Wadau wa Jf
Baada ya hali ya maisha kuwa ngumu kwa wengi wetu nimeona ni vyema nianzishe Uzi huu wa kupeana mawazo chanya ya kibiashara kwa maana humu JF ni sehemu ambayo nondo zote makini huwa zinapatikana
Kwahyo kama una wazo la biashara sio mbaya ukishare na sisi hapa na pia ni vizuri ukiweka na gharama za mtaji na faida itakayopatikana kwa kukisia tu, {yaani kabusiness plan kauongo na kweli} katika uzi huu ili tuweze kujikwamua na hii hali ngumu ya uchumi inayotukabili
Naomba kuwasilisha