Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay Mkuu, Shamba Lipo Na Sio Poli Ninachoitaji Kulima Ni Matikiti Maji maeneo Ya Magohe Kule na Kuhusu maji nafikili nitamwGilia Sio Mvua Ipo Hvyo kiongoziUnataka kulima nini, unataka kulima wapi, eneo/shamba unalo, je shamba limeandaliwa au bado ni pori, unategemea kufanya kilimo cha umwagiliaji au cha mvua?
Walau ukielezea hayo watu wanaweza kukusaidia zaidi.
Mkuu upo kama mimi upo wapi Kwa Sasa? Na wew umeanza au bado?Mimi nataka nifuge nguruwe samahani lakini
[emoji121]Samahani ya nini wakati hilo ni wazo lako!
Hakuna mfugaji hapo,2018 itapita then ataomba samahani pia.Ukiwa na wazo lifanyie kazi,huu ndio muda wa kuandaa mashamba mtu asianzishe excuse mwakani.Kama mnavyojua sasa hivi Watanzania tumeanza kuwa makauzu kwa watu wasiojituma...[emoji121]
SAMAHANI YAKE INASTAHILI KABISA HAPO!!!
Tupe elimu zaidi mkuuHata hivyo kuna hii fursa ya forex lazima tuiangalie kwa urefu na mapana yake. Kifupi forex ni real haina kuzunguka sana kama ilivyo network marketing , ni biashara halali ambayo unaweza kuwekeza kwa kuanzia na sh elfu 50 na kuendelea. Ishu kubwa kwenye forex ni elimu ya kulijua soko linaendaje na nifanyeje kwa wakati huu, wengi sana hiyo elimu hatuna na hatuna budi kuitafuta kwa UDI na uvumba..
Pamoja na hivyo kipindi tunaendelea kuhangaika kutafuta elimu ya kutosha sio vibaya tukawa tunanunua signals kutoka kwa wenzetu ambao wanauelewa mpana juu ya forex na wanatoa signal zinakupa profit kama unazingatia risk management. Kwa kufanya hivi itatusaidia kukuza mitaji yetu huku tukihangaika kupata mafunzo ambayo yatatusaidia tuweze kujitegemea sisi wenyewe.
Kuna watu kibao wanauza signal na zinakuwa nzuri kwa bei ya kimaskini kabisa . wapo Wa $5 hadi $70 kwa mwaka mzima unapokea signals. So km unamtaji wako Wa Tsh 200,000/= ukawa umewekeza na kutumia hizo signals zao kwa kuzingatia risk management kwa siku kulala na elfu50 sawa na $25 ni jambo LA kawaida maisha yanaenda.
Huku unatumia signal za kulipia endelea kuhangaika kutafuta chimbo za kukufundisha uweze kujitegemea katka forex.
Huo ndo ushauri wangu nipo tayari kukosolewa.
Hata ukiwa na elfu 50 ni mtaji ni vile uwe na nia kufanya ulichokusudia..kuna mtu humu katoa ushuhuda alianza na elfu 50 ..sasa hivi anajenga nyumbawakuu ishu sio mawazo ya biashara,ishu ni kupata mtaji,............
Hata ukiwa na elfu 50 ni mtaji ni vile uwe na nia kufanya ulichokusudia..kuna mtu humu katoa ushuhuda alianza na elfu 50 ..sasa hivi anajenga nyumba
Je una uhakika kuwa anajenga nyumba?tusitafute Fedha rahisi tujitumeHata ukiwa na elfu 50 ni mtaji ni vile uwe na nia kufanya ulichokusudia..kuna mtu humu katoa ushuhuda alianza na elfu 50 ..sasa hivi anajenga nyumba
Kuna nyuzi nyingi sana zipo humu zinaelezea hii biashara , hata hivyo nikitulia nitatoa A,B,C kuhusu hii biasharaTupe elimu zaidi mkuu
Ndo ipi bossKuna forestery pia
Hakuna fedha rahisi ila ukweli ndio huu kwamba hauhitaji mtaji mkubwa kufanikiwaJe una uhakika kuwa anajenga nyumba?tusitafute Fedha rahisi tujitume
Poa mkuuKuna nyuzi nyingi sana zipo humu zinaelezea hii biashara , hata hivyo nikitulia nitatoa A,B,C kuhusu hii biashara