Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
kuna fursa na kautajiri kazuri tu kwenye kilimo cha matunda !
nabase zaidi kwenye grapes jamani !
nitarudi
C kama watu hawana mawazo ya biashara wanayo ila hawataki kushare na wengine hilo ndo tatizo. Unaweza muomba mtu akupe muongozo wa biashara anayoifanya kwa kukusaidia mawili matatu yakuongoze na wewe utakapotaka kuifanya biashara hyo hakika ni ngumu kupata msaada kama huo na hii nadhani inatokana na uchoyo na ubinafsi tu.Watu wana mawazo ya ngono mkuu.
Alizia ngono utajibiwa uzi utajaa kweli kweli.
Watu hawana mawazo ya biashara.
Hata wewe mtoa mafa nikikupa wazo la biashara utalikataa, maana ni wale wale.
C kama watu hawana mawazo ya biashara wanayo ila hawataki kushare na wengine hilo ndo tatizo. Unaweza muomba mtu akupe muongozo wa biashara anayoifanya kwa kukusaidia mawili matatu yakuongoze na wewe utakapotaka kuifanya biashara hyo hakika ni ngumu kupata msaada kama huo na hii nadhani inatokana na uchoyo na ubinafsi tu.
Mimi niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya nafaka na katika kutafutatafuta taarifa nkakutana na mdsu fulani hivi akanambia hizo yeye ndo biashara zake nkaona hapa sasa ntapata mwanga ila amini nakwambia tangia hapo nmeshamtumia ujumbe kama mara mbili anisaidie taarifa kadhaa kuhusu biashara hyo ila hajawahi kunijibu na ndo maana nkayaandika niliyoandika hapo juu maana nmekutana nayo.kiongozi we huna kabisa shughuli unayojishughulisha nayo?
Samahani ya nini wakati hilo ni wazo lako!Mimi nataka nifuge nguruwe samahani lakini
Umeongea kwel kabisa ...uzi kama.huu huwez kua na zaid ya page 10 ila nyuzi za mtu katembea na kumpa mimba mama mkwe wake utaona comments 200 na views 10k.C kama watu hawana mawazo ya biashara wanayo ila hawataki kushare na wengine hilo ndo tatizo. Unaweza muomba mtu akupe muongozo wa biashara anayoifanya kwa kukusaidia mawili matatu yakuongoze na wewe utakapotaka kuifanya biashara hyo hakika ni ngumu kupata msaada kama huo na hii nadhani inatokana na uchoyo na ubinafsi tu.
Labda kwako ndo hali sio nzuri, juzi mtu kanunua flat screen curved ya milioni 6 unasema nini bwanaHali sasa siyo nzuri kifedha watu wengi wanakosa mitaji. Katika hali hii nawashauri kufanya biashara katika eneo la kilimo na mifugo ambalo unaweza kuanza hata na elfu 50, laki1 na kuendelea. Nunua vifaranga wa kuku wa nyama kama una uwezo wa kupata vyakula (feeds) pesa yako itarudi haraka.
Ndo hivyo tena huwezi kumpangia mtu cha kusoma.Umeongea kwel kabisa ...uzi kama.huu huwez kua na zaid ya page 10 ila nyuzi za mtu katembea na kumpa mimba mama mkwe wake utaona comments 200 na views 10k.
mfano mimi nlitoa thread ya mikoa kwa sasa ambayo ni mizuri kwa ajili ya biashara sijui ipo page moja tu
Na labda wew unajishughulisha na biashara gani!? Tupeana uzoefu na ujuziUmeongea kwel kabisa ...uzi kama.huu huwez kua na zaid ya page 10 ila nyuzi za mtu katembea na kumpa mimba mama mkwe wake utaona comments 200 na views 10k.
mfano mimi nlitoa thread ya mikoa kwa sasa ambayo ni mizuri kwa ajili ya biashara sijui ipo page moja tu
Unataka kulima nini, unataka kulima wapi, eneo/shamba unalo, je shamba limeandaliwa au bado ni pori, unategemea kufanya kilimo cha umwagiliaji au cha mvua?Hivi Nikiwa Na Laki 3 kwenye Kilimo Itanisaidia Nini nikiwa Na Maaan Naitaji Kujua Kwa Laki 3 ni kilimo gani naweza Kufanya Japo kwa Udogo Wake
Mfano kama ishu ya forex kiukweli watu wanapiga hela sasa wengine wenye husda walivyoona hivo wanakuja kila uchao kufungua thread zakusema watu wanapigwa sjui wameliwa kumbe ukweli ni kwamba watu wanapiga hela...sasa watu kama hao na roho hizo hawawez kamwe kumuona mtanzania mwenzake anafanikiwa...roho za kuona mwingine anafanikiwa wamepewa wachacheMimi niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya nafaka na katika kutafutatafuta taarifa nkakutana na mdsu fulani hivi akanambia hizo yeye ndo biashara zake nkaona hapa sasa ntapata mwanga ila amini nakwambia tangia hapo nmeshamtumia ujumbe kama mara mbili anisaidie taarifa kadhaa kuhusu biashara hyo ila hajawahi kunijibu na ndo maana nkayaandika niliyoandika hapo juu maana nmekutana nayo.