ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu ninaanzisha Uzi maalumu lengo lake Ni kupeana zawadi za vocha na muhusika atakayepewa vocha katika PM lazima aje atoe ushahidi hapa katika Uzi huu yaani unachofanya Ni Una mtag member unayemnunulia vocha halafu unaenda kwenye PM yake unamtumia namba za vocha uliokwangua halafu na yeye lazima je alete mrejesho hapa Kama kweli ameipokea vocha na imekubali.
Naanza Mimi mwenyewe natangaza kumtumia vocha ya buku Smart911 aniambie tu Ni mtandao gani anatumia nimtumie chap kwa haraka
Wapili sijui nimtumie Nani embu wa siti ya mbele kabisa first ku reply ndo nimtumie karibuni
Mtag member na umtumie vocha Ni kwa hisani ya upendo tu.
Haya Maisha tu vocha Ni vitu vya kupita