Kumekua na mabishano mengi sana mitaani kuwa maisha bila ndoa ni mazuri zaidi ya maisha ya ndoa,kwamba ukiwa Bachela au Single lady unakua huru no stress unafanya mambo yako kwa amani sana.
Imefika mbali zaidi na kusemekana eti waliopo kwenye ndoa wanatamani kuondokana na maisha warudi kwenye ubachela wakiamini kwamba ndoani ni kama jela na wanaonya wenzao wanaotamani kuingia kwenye ndoa eti bora waachane na hizo mambo huko ndoani ni kifungoni kunawaka moto,hakufai....Hebu tupeane uzoefu maisha ya ndoa Vs ubachela kipi bora?