Uzi Maalum wa kupeana uzoefu Maisha ya Ndoa Vs Ubachela/Single lady kipi bora?

Uzi Maalum wa kupeana uzoefu Maisha ya Ndoa Vs Ubachela/Single lady kipi bora?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kumekua na mabishano mengi sana mitaani kuwa maisha bila ndoa ni mazuri zaidi ya maisha ya ndoa,kwamba ukiwa Bachela au Single lady unakua huru no stress unafanya mambo yako kwa amani sana.
Imefika mbali zaidi na kusemekana eti waliopo kwenye ndoa wanatamani kuondokana na maisha warudi kwenye ubachela wakiamini kwamba ndoani ni kama jela na wanaonya wenzao wanaotamani kuingia kwenye ndoa eti bora waachane na hizo mambo huko ndoani ni kifungoni kunawaka moto,hakufai....Hebu tupeane uzoefu maisha ya ndoa Vs ubachela kipi bora?
 
Maisha yote yana changamoto zake, lakini ya ndoa ni matamu zaidi.
 
Back
Top Bottom