kwahio masikio yako yamelalia mbele kama ya punda,tembo?View attachment 3370363
Watu husema nimefanana na huyu jamaa anaitwa Manyanya, Mwenyewe sioni kabisa kwamba tunafanana kwa kiwango wanachokisema, kwanza huyu jamaa masikio yake yamelalia nyuma.
Masikio yamefanyeje ??View attachment 3370363