Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheap hivo mkoa gani huo dear, au ni kachumba kaduchuu?Daaah watu kumbe ndio mnalipa kodi kubwa hivi[emoji849][emoji849][emoji849] mimi kupanga kwangu kote kodi haijawahi kuzidi elfu 55
Daaah watu kumbe ndio mnalipa kodi kubwa hivi[emoji849][emoji849][emoji849] mimi kupanga kwangu kote kodi haijawahi kuzidi elfu 55
Dar..kachumba nilikohama recently ilikuwa haiwezekani mkae watu watatu ndani[emoji1787][emoji1787]Cheap hivo mkoa gani huo dear, au ni kachumba kaduchuu?
[emoji28][emoji28][emoji28] ubachela au kuwa na ndoa ndio huamua kipato cha mtu?Nahisi Wewe bado bachelor.
Kachumba kama kiberiti😂😂 ila unatudanganya wapangaji wewe ni landlord kabisa nasikia umejenga apartments unazipangisha😀Dar..kachumba nilikohama recently ilikuwa haiwezekani mkae watu watatu ndani[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawaKachumba kama kiberiti[emoji23][emoji23] ila unatudanganya wapangaji wewe ni landlord kabisa nasikia umejenga apartments unazipangisha[emoji3]
Huyu atakuwa anaishi geto[emoji23][emoji23]..bado hajakutana na msoto wa 80k-200 per month[emoji23][emoji23] na tena unalipa kwanzia miez 6- 8 .Cheap hivo mkoa gani huo dear, au ni kachumba kaduchuu?
Unalala kwenye "kabebi woka"?in Bashite voiceAlihamdulilah nmebakiza kutia mafuta kwenye ka passo kangu.. 10,000 kwa 4days nenda rudi, swala la kodi ya nyumba wala umeme hapana co'z natumia solar, amani iliyopo ni kubwa kwa kweli.
Madaraka yalimlevya uyo...Unalala kwenye "kabebi woka"?in Bashite voice