Uzi maalum wa kutaja gharama ya pango 2022

Uzi maalum wa kutaja gharama ya pango 2022

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Kwetu sisi wapangaji,
Mimi nabondwa 120,000/- kwa mwezi, room Mbili na Sebule pande za Kisemvule.

Vipi hapo ulipo hela ya pango unapigwa Sh. Ngapi?
 
Cheap hivo mkoa gani huo dear, au ni kachumba kaduchuu?
Huyu atakuwa anaishi geto[emoji23][emoji23]..bado hajakutana na msoto wa 80k-200 per month[emoji23][emoji23] na tena unalipa kwanzia miez 6- 8 .

Hapo ndipo utaukumbuka ule usemi kuwa uyaone[emoji23][emoji23].

Anyway ukion town kuish ngumu, jitaftie chaka lako nje ya mji, ambapo pango ni 20k or less than, then jichimbie huko uku ukulazimisha maisha yakae sawa ujenge kwako
 
Nalipa 10k kwa mwezi ,chumba hakina bati juu ,choo na bafu naenda kutumia cha sokoni mwenye nyumba ndio kajenga huko ili awe anapata mia mbili mia mbili kwa sababu ni karibu na soko ....

Hakuna maji ,hakuna umeme ,tunawasha macho usiku ...
 
Alihamdulilah nmebakiza kutia mafuta kwenye ka passo kangu.. 10,000 kwa 4days nenda rudi, swala la kodi ya nyumba wala umeme hapana co'z natumia solar, amani iliyopo ni kubwa kwa kweli.
Unalala kwenye "kabebi woka"?in Bashite voice
 
Back
Top Bottom