Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Oya wajomba kila mwanaume kuna mrembo wa kwanza kumpenda na kuamini kabisa ile mali ndo ilikuwa ya maisha.
Na ulitumia mda mwingi sanaa kipiga swaga lakin dakika za jioni bado alichoma kibanda.
May be Yeye alichukulia powa, au kuna kipengele kiliingilia katikat ukamkosa ukapitia kwa stress za mda.
Ila ukifikili now unacheka!!!
Mimi sec nilitumia likizo zima kumwaga sera alikataa baada ya mshikaji wangu naye kuaza kumtongoza wivu dakika za jioni akaona kamchezo.😢😢