Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Hello WanaJF huu ni uzi maalum wa kutambua unatumia simu ya Aina gani??, Kwa kufanya hivyo utaweza kuwatambua wanaJF wanaotumia simu kama yako na utaweza kujiongezea marafiki kwa Uzi huu.
Unachotakiwa kufanya ni Kucomment simu unayoitumia kwa sasa, na Atakayeilike ni yule anayetumia simu kama yako. Lets go...
Usiongope ushahidi unaweza kuwa screenshot..[emoji3]
Unachotakiwa kufanya ni Kucomment simu unayoitumia kwa sasa, na Atakayeilike ni yule anayetumia simu kama yako. Lets go...
Usiongope ushahidi unaweza kuwa screenshot..[emoji3]