Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania đź“¶

Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania đź“¶

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL.

Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili

VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769

TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715, 0716, 0717, 0652

AIRTEL: 0783, 0784, 0785, 0786, 0787, 0788, 0688, 0784

HALOTEL: 0620, 0621, 0622, 0623, 0624, 0625, 0629

Pia nitoe shukran kwa AI (Akili Mnemba) kutengeneza website itayorahisisha utambuzi >> Tanzania Simu Network Finder
 
077....nayo ni ???



073...nayo ni ??


061...nayo ni ??
 
Back
Top Bottom