Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

namaanisha watu waliofanikiwa wengi huwa wanatumia njia mbadala ambazo si rahisi kuziweka wazi.
Kama njia mbovu wengi ndo huficha lkn wale ambao wamefanya clean business hawana cha kuficha....ni jinsi tu wewe unawaendea ili wakupe mbinu.
 
Ujasiliamali ni kufanya shughuli fulani katika uwanja wa kibiashara, hivyo hutegemea sana ugunduzi/ubunifu katika utengenezaji wa bidhaa mpya, njia mpya za uzalishaji na uendeshaji wa bidhaa pamoja na upatikanaji wa masoko mapya.
 
watanzania ni wamoja tuilinde amani yetu.mimi naapa ya kuwa sitashawishika kuivunja amani ya nchi yangu tarehe 26.04.2018.nitailinda na kuitetea amani ya nchi yangu kama katiba ya nchi yangu iniongozavyo.
#kataa_maandamano
#linda_amani_ya_mama_Tanzania
Na.komredi Mgema
[HASHTAG]#mwanamapinduzi[/HASHTAG]
 
sawa wamekusikia chief, haya salam zao humu sio siasani.
 
Mimi nafanya graphic design na pia nimewekeza na Bitclub Advantage (online investment)
 
Screenshot_2017-09-29-15-05-03.png
550000
 
Back
Top Bottom