namaanisha watu waliofanikiwa wengi huwa wanatumia njia mbadala ambazo si rahisi kuziweka wazi.sijaelewa hapa chief
bora umeonekan cc mbitiyazaNafuatilia.
Kama njia mbovu wengi ndo huficha lkn wale ambao wamefanya clean business hawana cha kuficha....ni jinsi tu wewe unawaendea ili wakupe mbinu.namaanisha watu waliofanikiwa wengi huwa wanatumia njia mbadala ambazo si rahisi kuziweka wazi.
Hahahhaha! Una moyo wa chuma?mkuu tuwekee na mbinu za kubet nayo si haba madam tunaweza kupata pesa haijalish.
ninao mkuu tena chuma cha puaHahahhaha! Una moyo wa chuma?
sawa wamekusikia chief, haya salam zao humu sio siasani.watanzania ni wamoja tuilinde amani yetu.mimi naapa ya kuwa sitashawishika kuivunja amani ya nchi yangu tarehe 26.04.2018.nitailinda na kuitetea amani ya nchi yangu kama katiba ya nchi yangu iniongozavyo.
#kataa_maandamano
#linda_amani_ya_mama_Tanzania
Na.komredi Mgema
[HASHTAG]#mwanamapinduzi[/HASHTAG]
Here we go.ninao mkuu tena chuma cha pua