Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

Ungesema niweke ya handsome girl. Ningeweka ila sio boy.
HAKUNA HANDSOME ZAIDI YANGU
 
mim mkaka akiwa na body la hivi hata kumkataa hua najiuliza mara mbili mno,bora kufurahisha nafsi maisha mafupi,,wakaka wenye mabody ya hivi na sura za wastani mbarikiwe mnanipaga raha hata kuwatazama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…