Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

a22135bbf6be1c5aad7fc7762e926f9e.jpg
Sura ya bia
 
kwani kuna ubaya/ugumu gani??........mbona mimi nimemlea mdogo wangu mpendwa wa kike hadi amekuwa mkubwa,tokea akiwa na mwezi mmoja tulipendana sana hadi hataki mama yake amshike,amlishe wala kumpa nyonyo anataka kila kitu nimpe mimi hadi kulala na mama yetu hataki alikuwa analia!!......nimemlisha mimi,kumuogesha,kumfundisha kutembea,kuongea na kulala nae kila siku hadi amekua mkubwa!!
Nikajua hadi kumnyonyesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] akili za usiku hiziii
 
Back
Top Bottom