Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

Hivi huu uzi umeanzishwa na mwanadamu wa jinsia ipi?
 
Oya njoo ghetto mwana! Nina issue nawewe
 
Alafu mtuwekee picha za handsome men tuburudishe nafsi zetu bhana
 
Huu uzi ungefaa sana kuanzishwa na Demu na picha kutupiwa na hao hao mademu sisi vidume tungebaki kucomment tu!
 
Yaani watoto wa kiume wa JF siku hizi wana wivu kama dada zao, yaan mtu kaanzisha Uzi wake fresh, badala ya kujikita kwenye mada au kupotezea ijulikane moja, wanakuja na itikadi za kuwasema wanaume wenzao ni mashoga na mtu humjui. Mwanaume wa kweli hawez kuwa na tabia hizi za ki mchele mchele. Uzi huu umetulia, uko pwax, una picha tupia, huna picha tembea, otherwise unataka k.u.f.a.n.y.w.a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…