Ila wanawake bhna!
Yani umeshatoa mimba tatu mfululizo halafu Kuua mende unaogopa, Si ujinga huo π‘ π‘ π
Ila Wanawake wanafurahisha π
Eti mwanamke mchepukaji anaweza kutoroka kwao usiku halafu kwenda choo cha nje usiku anaogopa
Dada kapimwe Hospital ya Mirembe π π π
sent by OdryDrogen π